Sunday, September 23, 2018

Matokeo ya usaili wa mchujo uliofanyika tarehe 21 & 22 Sept, 2018


Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa mahojiano wanatakiwa kufika kwa kuzingatia muda na mahali kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Wasailiwa kwa kada za Administrative Officer,Personal Secretary, Drivers, Accounts Assistant, na Records Management Assistant usaili utafanyika tarehe 24/09/2018 na 26/09/2018 .Wasailiwa waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia tarehe zao za usaili kama zilivyooneshwa kwenye tangazo hili.
Click to Download -CBE,TIA,TMB, RITA, EASTC


EmoticonEmoticon