Monday, September 17, 2018

TANGAZO KWA WASAILIWA WA KADA YA LIBRARY ASSISTANT IV-USDM


Waombaji kazi walioitwa kwenye usaili wa  nafasi ya Library Assiatant IV ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambao kwa mujibu wa ratiba ya usaili iliyotoka tarehe 15 Septemba, 2018 walipaswa kufanya usaili wa Mchujo tarehe 21/09/2018, wanajulishwa kuwa usaili wa mchujo HAUTAKUWEPO badala yake wasailiwa walioitwa kwenye kada hiyo watafanya usajili wa Mahojiano pekee tarehe 24/09/2019.
MORE JOB OPPORTUNITIES IN TANZANIA CLICK HERE TO APPLY

SAIDIA KU-SHARE TAFADHARI

Author:

Iam a Author of this blog about Jobs, Education, And Other Important Social, Political and Economics News. For more You can Join and Contact Us by click below Social Networks button

0 komentar: