Saturday, October 20, 2018

HESLB: About Continued Students Who Applied For Loans 2018/2019

"Swali: Iwapo naendelea na masomo na sikupata mkopo mwaka uliopita, na nimeomba mkopo upya mwaka huu, nitajuaje kama nimepata?"
Jibu: Wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao walioomba mkopo kwa mara ya kwanza mwaka huu wa 2018/2019 na wana sifa watapata taarifa za mikopo yao kwa maafisa mikopo wa vyuo vyao mara watakapowasili vyuoni. Mikopo kwa wanafunzi wa kundi hili hupangwa baada ya HESLB kupokea matokeo ya mitihani yao kutoka kwa uongozi wa vyuo vyao.
READ QUESTIONS AND ANSWERS  BELOW IN PDF FOR MORE 


EmoticonEmoticon