Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kwa ajili ya Usaili wa Vitendo (Practical) wanapaswa kuhudhuria usaili huo utakaofanyika katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) tarehe 19/11/2018 saa moja kamili asubuhi wakiwa na Vyeti vyao halisi vya Taaaluma pamoja na cheti cha Kuzaliwa.
0 komentar: