Tuesday, April 23, 2019

Wasafi Fm Start First Radio Program Today At 20:00 EAT. | Wasafi Fm

Wasafi Fm is broadcasting radio in Tanzania under Cheif Excutive Officer Nasibu Abdul famous known as Diamond Platinum.
Today Diamond have wrote on his instagram page as follow below:-

Ninayo Furaha kuwajuza kuwa Kwa Mara ya Kwanza Leo @wasafifm itakuwa inatambulisha Kipindi cha kwanza kwenye Radio!! jina la Kipindi  #BLOCK89 Kuanzia saa Mbili kamili Usiku....kipindi hicho pia kitakuwa Live kwenye TV an Youtube na Platforms zote za Wasafi Media!!....Usikose Kusikiliza!!!! 88.9 @wasafifm #HiiNiYetuSote
 Make sure you catch mY Exclusive interview on 88.9 @wasafifm #Block89 from 08:Pm (Usikose Kusikiliza kwa Mara ya kwanza Live Exclusive interview yangu lndani ya #BLOCK89 ya 88.9 @wasafifm Leo saa Mbili kamili Usiku....Mahojiano hayo ambayo yatakuwa pia Live kupitia @wasafitv na Youtube Channel ya Wasafi Media ) 

SHARE THIS

Author:

0 komentar: